BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja , Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres asisitiza wito wake wa kusitisha mapigano Gaza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza wito wake wa kusitisha mapigano mara moja huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka waliotekwa na Hamas.
Je, Hezbollah itajiunga na vita vya Hamas dhidi ya Israel?
Hezbollah ina mpango wa kuingia vitani dhidi ya Israel kuisaidia Hamas?
Watanzania wanaosaka mafuvu ya babu zao Ujerumani
Ujerumani imesema iko tayari kuomba msamaha kwa kunyongwa kwa wanaume 19 katika eneo ambalo sasa ni kaskazini mwa Tanzania miaka 123 iliyopita.
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 29.10.2023
Manchester City wameweka dau la £50m kwa kiungo wa kati wa Uingereza Kalvin Phillips.
Video, Tazama: Video inayoonekana kuonyesha vikosi vya ardhini vya Israel huko Gaza, Muda 0,40
Makumi ya vifaru na magari ya kijeshi yanaonekana kwenye kanda iliyotolewa naJeshi La Israel
Kwanini DR Congo inataka kikosi cha Afrika Mashariki kuondoka
Baada ya kuhudumu kwa miezi 11 tu, kikosi hicho kilichobuniwa ili kukabiliana na ghasia kimeariwa kuondoka.
Mambo saba ambayo sayansi imefichua kuhusu viumbe wa ajabu
Tunapoanza wiki ya makala maalum kuhusu viumbe wa ajabu - yote haya kuadhimisha miaka 60 ijayo ya mfumo wa maisha ya viumbe wa ajabu, tumechagua baadhi ya mambo ya ulimwengu usio wa kawaida.
Francis Ngannou: Mhamiaji haramu kutoka Afrika atakaye zichapa na Tyson Fury
Je, mwafrika huyu atafanikiwa kumtwanga Tyson Fury hapo kesho?
'Ilikuwa uchungu kuwaona wakiwa wamelala kwenye dimbwi la damu' - jinsi soka ilivyomuokoa kocha wa Kenya Muluya
"Wakati wa likizo za shule, marafiki zangu wengi waliuawa katika mtaa wetu," Mulaya anakumbuka, akizungumza na BBC Sport Africa.
Kiptum alianzia kuazima viatu hadi kuvunja rekodi za dunia
Alipojiandaa kwa shindano lake la kwanza kuu la 2018, mwanariadha mpya wa Kenya wa mbio za marathon Kelvin Kiptum alifanya hivyo kwa viatu vya kukimbia vya kuazima kwa sababu hangeweza kumudu jozi yake mwenyewe.
Je kombe la Dunia litakaloandaliwa na mataifa sita litakuwaje?
Je, kombe la dunia katika nchi sita tofauti litawezekana?
Video, Tazama video: ‘Ni safari ndefu, haijakuwa rahisi. Nimefanyiwa upasuaji mara 39 ', Muda 3,37
Hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama mtu kuteseka kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wake.
Baba wa Mtanzania: Sina mawasiliano na mwanangu aliyepo Israel tangu mashambulizi ya Hamas
"Mara ya mwisho nimewasiliana na mwanangu ilikuwa ni tarehe 05 Septemba,
Video, Tazama video: Askari wa zamani ajiandalia kaburi Tanzania, Muda 2,51
Kifo ni jambo linalosubiriwa na kila mmoja lakini ni wachache wenye uwezo wa kujiandalia makazi baada ya kifo.
Tazama: Marekani ilivyoimarisha vikosi vyake vya majini kusaidia Israel
Hatua hiyo ni ya "kuzuia vitendo vya uhasama dhidi ya Israeli au juhudi zozote za kueneza vita hivi".
Sidiria inayogundua saratani ya matiti mapema
Mwanasayansi wa Kituruki ametengeneza kifaa kipya ambacho kinaweza kuboresha uchunguzi wa matiti kwa wagonjwa walio katika hatari kubwa.
Video, Mauaji ya Kibbutz: 'Nilijificha kwa saa 27 na mtoto wangu ili kuishi', Muda 3,18
Mtengezaji wa filamu wa Israel Shaylee Atary na binti yake mchanga walinusurika katika shambulio hilo baada ya mumewe Yahav Winner kuwazuia watu waliokuwa na bunduki.
Taarifa kuhusu Coronavirus
Matukio makubwa katika siku kumi za vita vya Israel na Hamas
Israel - Hamas: Yajue matukio makubwa ndani ya siku kumi
Janga la Corona miaka miwili: Mambo matano tuliyojifunza
Mnamo Machi 11, 2020, Shirika la Afya Duniani lilitangaza rasmi mlipuko wa Covid-19. Hivi ndivyo mambo yalivyobadilika
'Covid ilinihofisha nikagandisha yai langu'
Kliniki zinazoongoza za uzazi nchini Uingereza zinaendelea kushuhudia ukuaji wa matibabu ya kugandisha yai.
Omicron na Delta zasababisha tsunami ya kesi za covid-WHO
Walakini, Dk Tedros aliwaambia waandishi wa habari kampeni kubwa nchi tajiri kutoa chanjo za ziada "zina uwezekano wa kuongeza muda wa janga hili", kwani wanaelekeza vifaa kutoka kwa nchi masikini, ambazo hazina chanjo,
Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia lengo la chanjo ya kimataifa
Lengo la kufikia 40% ya viwango vya chanjo kamilifu katika kila nchi hadi kufikia mwisho wa mwezi Disemba halijafanikiwa barani Afrika.
Nitajitunza vipi baada ya kupata Covid?
Ni lini inafaa kuondoka kwenye kiti au kitanda ?
Dalili za Omicron: Je mafua ni dalili ya virusi vya corona?
Je mafua yanaweza kuwa dalili ya Omicron?
Tuyajenge

Sikiliza, Je Malezi yanasaidia kujenga afya ya akili?, Muda 29,00
Je Malezi yanasaidia kujenga afya ya akili?
Global Newsbeat
Dira TV

Video, Dira ya Dunia TV Ijumaa 27/10/2023, Muda 24,03
Matangazo ya Dira ya Dunia TV na Elizabeth Kazibure.
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 30 Oktoba 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Oktoba 2023, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 27 Oktoba 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 27 Oktoba 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Sababu nne kwanini Palestina haijakuwa nchi huru
Ilikuwa mwaka wa 1948. Tangu wakati huo, vita vya Waarabu na Waisraeli vilianza. Tangu wakati huo, vita vya Palestina havijakoma.
Wanyanyasaji wa watoto kingono wanavyotumia Akili Mnemba (AI)kugeuza waimbaji na nyota wa filamu kuwa watoto
Katika mwezi mmoja, IWF ilichunguza picha 11,108 za AI ambazo zilishirikiwa kwenye jukwaa la unyanyasaji wa watoto kwenye tovuti.
Jinsi kucheleweshwa kwa mashambulizi ya Israel kunavyoinufaisha Marekani
Washirika wa Marekani wa Kiarabu - Misri, Saudi Arabia, Lebanon, Jordan, UAE na Mamlaka ya Palestina - walijitokeza kutoa wito wa kusitishwa kwa mapigano.
COP28 ni nini na kwa nini ni muhimu?
COP28 ni mkutano wa 28 wa kila mwaka wa Umoja wa Mataifa (UN) wa hali ya hewa. Serikali zinajadili jinsi ya kuweka kikomo na kujiandaa kwa mabadiliko yajayo ya tabianchi.
'Kaka yangu mkubwa atarudi lini kutoka Israel?'
BBC imemtaja mwanafunzi Mtanzania aliyetoweka nchini Israel wiki kadhaa baada ya Hamas kuwashambulia raia.
Antonio Guterres: Kwa nini Israel imekasirishwa naye?
Kauli za Guterres ziliwakasirisha sana Waisraeli, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Eli Cohen akihutubia kwa ukali.
Nini kiliandikwa katika barua ya Saddam Hussein kwa Wapalestina kabla kifo chake?
Jinsi Sadam Hussein alivyowasaidia Wapalestina
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.